Register  Login  Active Topics  Maps  

Kiswahili

  Tags: Swahili
 Language Learning Forum : Multilingual Lounge Post Reply
21 messages over 3 pages: 13  Next >>
strikingstar
Bilingual Tetraglot
Senior Member
United States
Joined 4969 days ago

292 posts - 444 votes 
Speaks: English*, Mandarin*, Cantonese, Swahili
Studies: Spanish, Arabic (Written)

 
 Message 9 of 21
03 December 2010 at 3:51am | IP Logged 
U hali gani, ellasevia? Mimi nzuri.

Ndiyo, Kikantoni ni lugha ya familia ya mamangu. Nilikisikia nyumbani kwangu pengine
wakati nilikuwa mtoto, kama vile ulivyosikia Kigiriki. Nilitumia Kikantoni kuzungumza
na bibi wangu pia. Nilianza kujifunza Kichina shuleni wakati nilikuwa na miaka saba
(kwa kweli ni tano, lakini sikujua nini ilikuwa ikitukia.) Nilikichukia Kichina sana
nilipokuwa nikikua. Lakini sasa, ninafurahi kwamba nikakijua.

Nilianza kujifunza Kihispana miaka mitatu iliyopita baada ya nilikuwa nimesafiria nchi
za Guatemala, El Salvador, Honduras, Nicaragua y Costa Rica. Niliamua kujifunza
Kihispana kwa sababu sikuweza kufahamu watu wote toka nchi zile. Nilitaka niweze
kuzungumza na wasemaji wa Kihispana wakati nitatembelea tena nchi ambazo zinasema
Kihispana. Sasa, ninajizoeza na marafiki yangu ya Latino na mwuzaji wa kijiduka cha
mkate changu kienyeji.

Nilianza kujifunza Kiswahili miaka miwili iliyopita. Lakini, ninadhani kwamba
nimekuambia hadithi hii tayari.

Nilikuwa nimeanza kujifunza Kiarabu juzi juzi. Nilikuwa na siku fani leo. Ninasikia
kwamba maarifa yangu ya sarufi ya Kiarabu yanaboresha. :)   

Lugha zijazo nitazotaka kujifunza ni Kifaransa na Kirusi.

Tutaonana baadaye.

PS: Swahili fun fact of the day. (As told to me by one of my Swahili instructors in
Tanzania.)

The word 'mzungu' comes from -zunguka, which means to go around in circles. Apparently,
that's what Europeans first did when they arrived in (East) Africa. Think 'Dr.
Livingstone, I presume?'.

Edited by strikingstar on 03 December 2010 at 4:15am

2 persons have voted this message useful



ellasevia
Super Polyglot
Winner TAC 2011
Senior Member
Germany
Joined 5938 days ago

2150 posts - 3229 votes 
Speaks: English*, German, Croatian, Greek, French, Spanish, Russian, Swedish, Portuguese, Turkish, Italian
Studies: Catalan, Persian, Mandarin, Japanese, Romanian, Ukrainian

 
 Message 10 of 21
05 December 2010 at 1:46am | IP Logged 
Hujambo strikingstar,

Ni ya kupendeza kwamba ulichukia Kichina ulipokuwa shuleni kwa vile mimi pia nilichukia Kihispania (lugha niliyojifunza shuleni). Sasa sichukii lugha, lakini si lugha yangu ya kipenzi.

Je, wewe wachanganya lugha zako? Mara nyengine nachanganya Kihispania na Kigiriki kwa sababu vilikuwa lugha nilizojua kutoka utoto, lakini sidhani kama nilivitofautisha. Pia, ninachanganya mara nyengine Kiswahili na Kijapani! Ni lugha mbili zangu zisizo za Kihindi-Kiulaya, kwa hivyo labda ni sababu. Pia, ninachanganya mara nyingi Kijerumani na Kiholanzi kwa sababu ni sawa sana. Hata hivyo, ni ya kushangaza kwamba sichanganyi kamwe Kihispania, Kireno, Kifaransa, au Kitaliana…

Lugha yako ya kipenzi ni gani? Kiswahili?

Tutaonana,

Ellasevia

P.S. I just looked up "kuzunguka" and apparently it can also mean "to wander about aimlessly" or "to waste time!"

Edited by ellasevia on 05 December 2010 at 1:51am

1 person has voted this message useful



strikingstar
Bilingual Tetraglot
Senior Member
United States
Joined 4969 days ago

292 posts - 444 votes 
Speaks: English*, Mandarin*, Cantonese, Swahili
Studies: Spanish, Arabic (Written)

 
 Message 11 of 21
15 December 2010 at 8:48pm | IP Logged 
Habari zako, ellasevia.

Sifikiri kwamba ninayo lugha ya kipenzi. Ninapenda lugha zote ninazojifunza kwa mahoja
tofauti. Kihispana, kwa sababu watu wengi hukisema. Kiarabu, kwa sababu taratibu chake
ya kuandika ni hidaya sana, na Kiswahili kwa sababu ninapenda bara la Afrika sana.

Pengine, nitatumia maneno ya Kihispana wakati ninasema Kiswahili na vice versa, hasa
wakati ninajua neno fulani katika lugha moja tu. Kwa mfano, hapo kale, nilipoanza
kujifunza Kiswahili, nilisema "pescado" kawaida niliporefea samaki. Sasa, ninafanya
makosa madogo zaidi. Lakini, inaonekana kwamba nitababaika baina ya Kiswahili na
Kiarabu hivi karibuni. Vina maneno mengi sana mno ambayo ni sawa. Hata "lugha" ni neno
la Kiarabu "لغة". Shagala bagala kabisa!!!

Edited by strikingstar on 15 December 2010 at 8:50pm

1 person has voted this message useful



Makedha
Diglot
Newbie
United States
Joined 4850 days ago

14 posts - 17 votes
Speaks: French*, English
Studies: Swahili

 
 Message 12 of 21
24 January 2011 at 12:01am | IP Logged 

Hamjambo !

Inawezekana nizungumze na ninyi ili kuboresha kiswahili changu? Unavyoona, ni kibaya sana…Sina watu wo wote naweza kumzungumzia kwa kiswahili, basi niliumaini ningeweza kuzungumza na watu kwenye internet.

Mimi ni mtu aliyependa kujifunza lugha vipya, na kwa hiyo nilianza kujifunza kiswahili. Kwa nini nilichagua kiswahili badala ya lugha nyingine ? kwa sababu ni lugha nzuuuuri sana. Juu ya hayo, mimi ni mwafrika, basi nadhani kuwa afadhali nijifunze lugha ya wazee wangu (= my ancestors?) ili kuwaheshimia.


strikingstar wrote:
Ndiyo, Kikantoni ni lugha ya familia ya mamangu.


Wewe ni mwasia ? Nina upendo kwa vitu vyote venye asili ya Asia! Na hasa Asia Mashariki. Ni mojawapo ya sababu niliamua kujifunza kijapani takriban miaka mawili iliyopita. Unatoka kwa nchi za asia gani?   

strikingstar wrote:
Nilikuwa nimeanza kujifunza Kiarabu juzi juzi. Nilikuwa na siku fani leo. Ninasikia
kwamba maarifa yangu ya sarufi ya Kiarabu yanaboresha. :)


   Mimi pia natamani niweze kusema kiarabu (Utamaduni wa waarabu ni ya kuvutia sana na msamiati na herufi za kiarabu ni nzuri kupindukia!). Lakini nilipoanza kujifunza lugha hii, nilikata tamaa kwa kuwa ndiyo lugha vigumu mno…


Edited by Makedha on 25 January 2011 at 6:03pm

1 person has voted this message useful



ellasevia
Super Polyglot
Winner TAC 2011
Senior Member
Germany
Joined 5938 days ago

2150 posts - 3229 votes 
Speaks: English*, German, Croatian, Greek, French, Spanish, Russian, Swedish, Portuguese, Turkish, Italian
Studies: Catalan, Persian, Mandarin, Japanese, Romanian, Ukrainian

 
 Message 13 of 21
24 January 2011 at 7:27am | IP Logged 
Hamjambo Makedha na strikingstar! Mwaka Mpya!

Strikingstar: Kwa kweli nilikusudia kukuandika hapa leo, lakini Makedha aliandika kabla ya nilikuwa na
nafasi! Nimeshughulika sana na sikusoma Kiswahili hata kidogo tangu mwanzo wa Desemba. Tokea hapo
sikuwa na nafasi kwa sababu ya mitihani ya shule na likizo ya Krismasi. Sasa ninalenga Kiajemi, Kiswidi,
na Kiholanzi, na mpaka Jumatatu jana sikuwa na ratiba ipange masomo yangu. Sasa nina ratiba na ninajua
lini lazima nisome kila lugha ninayojifunza (siku ya Kiswahili ni Jumapili). Nasoma batli ya lugha yako na
naweza kuona kazi yote unayofanya kwa Kiarabu; ni ndiyo lugha kigumu sana... “Shagala bagala kabisa”
imaanisha gani? Sifahamu maneno haya.

Makedha: Karibu! Tungefurahia kuzumgumza nawe.

Muda gani unajifunza Kiswahili? Nilianza kukisoma takriban miezi kumi na mimoja iliyopita. Bado sisemi
vizuri sana, lakini naona kuwa unaweza kukiandika vizuri kabisa! Kwa mimi, si ngumu sana kukisoma au
kukiandika kwa sababu una nafasi wafikiri, lakini nafikiri kwamba kusema Kiswahili si rahisi sana kwa
sababu ya viandishi awali vyingi wavyohitaji kutumia kama unataka kusema fasaha. Ufikirije?

Je, ulisafiri Tanzania au Kenya? Nilikwenda Tanzania Julai na ilikuwa uzoefu wa ajabu. Strikingstar pia
alisafiri Tanzania akapenda sana.

Unasema lugha gani? Sasa profile yako inaonyesha Kiingereza tu; lazima uimalize. Kiswahili, na ulinena
kwamba ulijifunza Kijapani. Na inaonyesha kwamba unaishi Ubelgiji, pengine unasema Kifaransa au
Kiholanzi? Unajifunza lugha gani?

Tutaonana baadaye!

Edited by ellasevia on 24 January 2011 at 8:19am

1 person has voted this message useful



strikingstar
Bilingual Tetraglot
Senior Member
United States
Joined 4969 days ago

292 posts - 444 votes 
Speaks: English*, Mandarin*, Cantonese, Swahili
Studies: Spanish, Arabic (Written)

 
 Message 14 of 21
25 January 2011 at 6:15am | IP Logged 
Makedha wrote:

Hamjambo !

Inawezekana nizungumze na ninyi ili kuboresha kiswahili changu? Unavyoona, ni mbaya
sana…Sina watu wo wote naweza kumzungumzia kwa kiswahili, basi natumaini nitaweza
kuzungumza na watu internetini.

Mimi ni mtu aliyependa kujifunza lugha mpya, na kwa hiyo niliamua kujifunza kiswahili.
Kwa nini nilichagua kiswahili badala ya lugha nyingine ? kwa sababu ni lugha nzuuuuri
sana. Juu ya hayo, mimi ni mwafrika, basi nadhani kuwa kujifunza lugha ya wazee wangu
ni namna nema kuwaheshimia.


strikingstar wrote:
Ndiyo, Kikantoni ni lugha ya familia ya mamangu.


Wewe ni mwasia ? Nina upendo kwa vitu vyote venye asili ya Asia! Na hasa Asia
Mashariki. Ni mojawapo ya sababu niliamua kujifunza kijapani takriban miaka mawili
iliyopita. Unatoka kwa nchi za asia gani?   

strikingstar wrote:
Nilikuwa nimeanza kujifunza Kiarabu juzi juzi. Nilikuwa na siku
fani leo. Ninasikia
kwamba maarifa yangu ya sarufi ya Kiarabu yanaboresha. :)


Mimi pia natamani niweze kusema kiarabu (Utamaduni wa waarabu ni ya kuvutia sana na
msamiati na herufi za kiarabu ni nzuri kupindukia!). Lakini nilipoanza kujifunza lugha
hii, nilikata tamaa kwa kuwa ndiyo lugha vigumu mno…


Hujambo, Makedha. Habari zako.

Karibu ukumbi huu sana sana sana. Kama ellasevia alivyosema, tutafurahi sana kuzungumza
nawe. Kwa kweli, 'kuongea' Kiswahili kulikuwa miongoni mwa sababu nilizounga ukumbi
huu. Sasa, ninasikia changamfu kwamba umeunga sisi. Pia, Kiswahili chako si kibaya
kabisa. Bali, ni kizuri sana.

Ndiyo, mimi ni Mwasia. Nilizaliwa katika nchi ya Malaysia. Na wewe je? Ulizaliwa katika
Belgium au ulihama kutoka Afrika? Nilianza kujifunza Kijapani mwaka uliopita, lakini
nikaamua kuisha kwa sababu nikataka kulenga Kiarabu. ellasevia anasoma Kijapani.
Ninadhani kwamba mnaweza kusaidiana. Wa ama, ungevutiwa kusoma Kichina katika umbele,
ningefurahi kukusaidia.   

Kiarabu ndicho ni kigumu. Kwa bahati nzuri, maarifu yangu ya Kiswahili yalinisaidia
kujifunza Kiarabu upesi zaidi. Kiswahili na Kiarabu vinagawana maneno mengi. Juzi juzi,
nilianza kutengeneza orodha ya maneno vinayogawana (na ellasevia alikuwa akisaidia!).

Tutaonana baadaye.
1 person has voted this message useful



strikingstar
Bilingual Tetraglot
Senior Member
United States
Joined 4969 days ago

292 posts - 444 votes 
Speaks: English*, Mandarin*, Cantonese, Swahili
Studies: Spanish, Arabic (Written)

 
 Message 15 of 21
25 January 2011 at 6:50am | IP Logged 
ellasevia wrote:
Strikingstar: Kwa kweli nilikusudia kukuandika hapa leo, lakini
Makedha aliandika kabla ya nilikuwa na nafasi! Nimeshughulika sana na sikusoma
Kiswahili hata kidogo tangu mwanzo wa Desemba. Tokea hapo sikuwa na nafasi kwa sababu
ya mitihani ya shule na likizo ya Krismasi. Sasa ninalenga Kiajemi, Kiswidi, na
Kiholanzi, na mpaka Jumatatu jana sikuwa na ratiba ipange masomo yangu. Sasa nina
ratiba na ninajua lini lazima nisome kila lugha ninayojifunza (siku ya Kiswahili ni
Jumapili). Nasoma batli ya lugha yako na naweza kuona kazi yote unayofanya kwa Kiarabu;
ni ndiyo lugha kigumu sana... “Shagala bagala kabisa” imaanisha gani? Sifahamu maneno
haya.


Hujambo ellasevia. Mimi nzuri. Najua kwamba umeshughulika. Nilikuwa nikisoma batli yako
pia. Inaajabisha kwamba unasoma malugha mengi sana. Natumaini kwamba masoma yako
yanaenda vizuri. Uko 'junior year' au 'senior year' ya shule ya sekondari? Je,
umefikiri kuhusu chuo kikuu tayari?

"Shagala bagala" inamaanisha "kubabaika" au "wazimu". Ni kirai changu cha kipenzi.
Sijui awali ya kirai hiki lakini nabahatisha ni "sheng".
1 person has voted this message useful



Makedha
Diglot
Newbie
United States
Joined 4850 days ago

14 posts - 17 votes
Speaks: French*, English
Studies: Swahili

 
 Message 16 of 21
28 January 2011 at 11:15pm | IP Logged 
Hamjambo !

Strikingstar:

Ahsante kwa kunikaribisha! Inanipa faraja kusoma kwamba Kiswahili changu si kibaya kwa mtu aliye sema lugha hiki fasaha. Inaongeza kujiamini (= self-confidence?) kwangu!

Niliposoma masomo ya kiswahili yangu, nimeona pia kwamba msamiati ya kiarabu na kiswahili inafanana sana (kwa mfano: namba 6 hadi 9, salama/salaam,dakika/daqiqe, dhahabu/adhahab, etc.). Unajua Itakuwaje?
Pia Bahati nzuri kwa kusoma Kiarabu! Nadhani una ushujaa wingi kwa kuanza kusoma lugha kigumu kama hiki. Na kichina pia. Hailikuwa vigumu kujifunza mwandiko? Hata ningejaribu kwa bidii, sidhani ningehifadhi alama ya kichina zote, tangu tayari nina ugumu mengi kwa kuhifadhi alama zote za kijapani zenye asili ya kichina (the kanji’s), ingawa wajapani watumia alama hizo yapata 2000 tu – wakati wachina watumia alama zaidi ya 6000, ni sahihi? – kwa hiyo, nina shaka kamwe nitaja kujifunza kichina...

Kwa bahati mbaya, nilipata nafasi kuiendea Afrika mara moja tu kwenye maisha yangu yote kwa kuwa nimezaliwa katika Belgium...
Kuna msichana huyu, rafiki yangu, anayesafiri Malaysia katika likizo kuu ya shule. Amenionyesha pitcha alizozipigwa mwenyewe kwa nchi hii. Pich hii zinaonyesha mahali ajabu sana! Nina uhakika unaona fahari kubwa kwa nchi nzuri yako!

Ellasevia :

nilianza kusoma masomo ya kiswahili kwenye tovuti iliyoitwa « Mwanasimba » miaka mitatu au miwili ilyopita (sifahami kwa hakika), lakini niliacha masomo kwa kipindi cha miezi kadhaa (nadhani karibu mwaka mzima) na nilisahau vitu vyote nimevyovisoma katika kipindi hiki… Sijawahi kuenda Kenya au Tanzania bado, lakini nilianza kujifunza kiswahili tena miezi tisa iliyopita kwa sababu wakati huu nimekuwa nikipanga kusafiri Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo. Ingawa asilimia kubwa ya wakongo wasema kifaransa au kilingala, kuna waswahili wengi pia katika mashariki. Basi nilisoma kiswahili kwa bidii ili niweze kuwafahamu na kuzungumza nao.
Nilipenda kukaa huko kwa baadhi ya siku, licha ya matatizo ya umaskini na rushwa yaliyopo nchini. Kuna watu wema wengi na mahali nyingi penye mandhari mazuri sana.

Ulivyosema ni sahihi, Kiholanzi ndivyo mojawapo wa lugha tatu ninachokisema fasaha. Kwa hivyo usisite kunijia kwa msaada kuhusu ya lugha hiki (tangu nimeona kwamba unajifunza lugha hiki). Kifaransa pia ni miongoni mwa lugha tatu, kwa kweli, ni lugha ninachokisema bora kuliko kote kwani ni lugha yangu ya kwanza (lugha ya tatu ni Kiingereza). Kwa sasa, ninajifunza Kijapani na Kiswahili tu.
Na weweje, jinsi gani ulijifunza lugha nyingi zilizoorodheshwa kwenye profile yako? Ni ya ajabu sana! Unaweza kuziongea lugha ZOTE fasaha?

Kuhusu ya profile yangu, nilibofya “My Profile”, halafu “Member Control Panel” na nikaingia ukumbi wote nikitafuta njia ya kuhariri taarifa ya lugha kwenye profile yangu nisiweze... Sijui vipi nibadilishe taarifa hii. Unisaidie tafadhali =(



Edited by Makedha on 03 February 2011 at 11:58pm



1 person has voted this message useful



This discussion contains 21 messages over 3 pages: << Prev 13  Next >>


Post ReplyPost New Topic Printable version Printable version

You cannot post new topics in this forum - You cannot reply to topics in this forum - You cannot delete your posts in this forum
You cannot edit your posts in this forum - You cannot create polls in this forum - You cannot vote in polls in this forum


This page was generated in 0.4063 seconds.


DHTML Menu By Milonic JavaScript
Copyright 2024 FX Micheloud - All rights reserved
No part of this website may be copied by any means without my written authorization.