Register  Login  Active Topics  Maps  

Kiswahili

  Tags: Swahili
 Language Learning Forum : Multilingual Lounge Post Reply
21 messages over 3 pages: 1 2
ellasevia
Super Polyglot
Winner TAC 2011
Senior Member
Germany
Joined 5938 days ago

2150 posts - 3229 votes 
Speaks: English*, German, Croatian, Greek, French, Spanish, Russian, Swedish, Portuguese, Turkish, Italian
Studies: Catalan, Persian, Mandarin, Japanese, Romanian, Ukrainian

 
 Message 17 of 21
29 January 2011 at 5:04am | IP Logged 
strikingstar
Asante, strikingstar. Sasa nipo mwaka wa junior. Ndiyo, nimefikiri kuhusu chuo kikuu na nimevitembelea vichache. Ninadhania kwamba nitataka kusoma lugha za kigeni (labda Kiarabu, Kijapani, au Kirusi), masomo ya Mashariki ya Kati au Asia ya Mashariki, isimu, au jiografia (na kadhalika). Pia, sitaki kuishi hapa Marekanini, bora zaidi ni Ulaya... Na wewe je, una umri gani kama nikuulize?

Makedha
Mimi pia ninatumia tovuti ya “Mwana Simba,” ni njema sana! Kuna watu wengi wanaosema Kiswahili katika Kongo? Uliweza kuzungumza nao kwa lugha yao ya kwanza?

Asante, ninapenda sana Kiholanzi, ni lugha rahisi kabisa, hata kwa vile tayari ninakisema Kijerumani na Kiingereza. Ninashughulika sana ili nisome lugha zote zinazoorodheshwa kwenye profile yangu, nina ratiba ninayotumia ipange masomo yangu. Kama ungependa, unaweza kuangalia batli ya lugha yangu hapa na batli ya strikingstar ni hapa. Wewe pia unaruhusiwa kuanza batli ya lugha kwa Kiswahili na Kijapani kwenye subforum inayoitwa “Language Learning Log” kama ungependa.

Ndiyo, ninasema lugha zote, lakini sisemi zote fasaha. Kiingereza, Kihispania, Kifaransa, na Kireno ni lugha ninazosema fasaha tu. Ninasema Kigiriki, Kijerumani, na Kitaliana pia, lakini sizisemi vizuri tosha ninene kwamba ninazisema fasaha. Na wewe unasoma Kifaransa, Kiingereza, na Kiholanzi?

Kuhusu profile yako, uingie “My Profile” na ufanye klik “Languages” chini ya jina lako. Halafu ufanye klik “Add a new language,” uchague lugha, na ujaze fomu. Lazima ufanye hivi kwa lugha zote unazosema au unazojifunza. Pia utaweza kuorodhesha lugha unazotaka kujifunza katika umbele kama utafanya klik “Add a new entry on your hitlist.” Uninene kama una matatizo zaidi. :)

Kwaherini!
1 person has voted this message useful



Makedha
Diglot
Newbie
United States
Joined 4850 days ago

14 posts - 17 votes
Speaks: French*, English
Studies: Swahili

 
 Message 18 of 21
20 February 2011 at 2:15am | IP Logged 
ellasevia wrote:
Mimi pia ninatumia tovuti ya “Mwana Simba,” ni njema sana! Kuna watu wengi wanaosema Kiswahili katika Kongo? Uliweza kuzungumza nao kwa lugha yao ya kwanza?


Ndiyo! Kuna waswahili wengi huko. Aghalabu watu hutumia “Kenya” au “Tanzania” (au nchi ya Afrika Mashariki yengine) kwa mfano wa nchi yenye waswahili wingi, kwa hiyo nilishangazwa kabisa kuona kwamba, katika mji huo mashariki mwa Kongo niliouenda, watu wote (bila ubaguzi) wasema Kiswahili vizuri pia.

Lakini, sikuweza kuzungumza nao katika Kiswahili maana Kiswahili kinachosemwa nchini Kongo si kama kile kinachosemwa Afrika Mashariki. Wakongo watumia sarufi tofauti (sarufi ambayo imerahisishwa) na hii inafanya ni vigumu kidogo kuwafahamu.
Zaidi ya hayo, mimi ni mtu mwenye “social phobia” kidogo. Yaani, huwa najaribu kuepuka hali ya kijamii kwa kuwa natahayari haraka sana. Sijui vipi nijikwamue na hofu hii. Mara nyingi, ninapokuta na watu nisiowajua, naona aibu kubwa, halafu sijui nisemaje. Nilidhani ningekuwa na ujasiri kuanzisha mazungumzo nao, lakini sikuwa nao.
Ala kulli hali, (=anyway?)ni dhahiri kwamba siongei kiswahili vizuri vya kutosha kuwa na mazungumzo na mswahili. Bado nahitaji kuwaza kwa muda mrefu kujenga sentensi njema ya Kiswahili. Nadhani muda mrefu niliyoihitaji kuandika barua hii unaithibitisha kauli hiyo…

ellasevia wrote:
Asante, ninapenda sana Kiholanzi, ni lugha rahisi kabisa, hata kwa vile tayari ninakisema Kijerumani na Kiingereza.


Maadam Kiholanzi kinafanana na Kijerumani kwa kiasi cha ajabu basi hutauhitaji msaada yangu hata kidogo. Hata mimi nisiyejua ujerumani ninaweza kuifahamu makala ndogo iliyoandikwa katika lugha hii kwa kutumia ujuzi wangu wa kiholanzi!

ellasevia wrote:
Ninashughulika sana ili nisome lugha zote zinazoorodheshwa kwenye profile yangu, nina ratiba ninayotumia ipange masomo yangu. Kama ungependa, unaweza kuangalia batli ya lugha yangu hapa na batli ya strikingstar ni hapa. Wewe pia unaruhusiwa kuanza batli ya lugha kwa Kiswahili na Kijapani kwenye subforum inayoitwa “Language Learning Log” kama ungependa.
Ndiyo, ninasema lugha zote, lakini sisemi zote fasaha. Kiingereza, Kihispania, Kifaransa, na Kireno ni lugha ninazosema fasaha tu. Ninasema Kigiriki, Kijerumani, na Kitaliana pia, lakini sizisemi vizuri tosha ninene kwamba ninazisema fasaha. Na wewe unasoma Kifaransa, Kiingereza, na Kiholanzi?


Siyo, nimeshasoma lugha zile basi naweza tayari kuziongea zote vizuri.
Nimeiangalia batli yako. Wewe ndiyo mtu mwenye shabaha (=ambition?)!
Nimewahi kujiweka ratiba binafsi pia, lakini baada ya muda kidogo niliiacha kwani kipindi kimoja nilijishughulika na lugha fulani sana, na kipindi kingine nilipoteza maslahi kabisa katika lugha ile ile. Basi ilikuwa vigumu sana kuifuata ratiba hiyo.
Aidha, ilikuwa vigumu kidogo kushiriki ratiba ya misomo yangu wa lugha nilizozijifunza na misomo yangu wa shule. Nilikuwa nikipewa kazi ya shule (=homework?) nyingi na walimu wangu, hii ni iliyofanya sikuwa na wakati vya kutosha kujishughulisha na misomo yangu yote ya lugha. Na weweje, kama ni mwanafunzi, huna tatizo ile pia? Uko darasa la ngapi?

ellasevia wrote:
Kuhusu profile yako, uingie “My Profile” na ufanye klik “Languages” chini ya jina lako. Halafu ufanye klik “Add a new language,” uchague lugha, na ujaze fomu. Lazima ufanye hivi kwa lugha zote unazosema au unazojifunza. Pia utaweza kuorodhesha lugha unazotaka kujifunza katika umbele kama utafanya klik “Add a new entry on your hitlist.” Uninene kama una matatizo zaidi. :)


Sinayo. Ahsante sana kwa msaada yako!


1 person has voted this message useful



strikingstar
Bilingual Tetraglot
Senior Member
United States
Joined 4969 days ago

292 posts - 444 votes 
Speaks: English*, Mandarin*, Cantonese, Swahili
Studies: Spanish, Arabic (Written)

 
 Message 19 of 21
20 February 2011 at 4:59pm | IP Logged 
Makedha wrote:

Ahsante kwa kunikaribisha! Inanipa faraja kusoma kwamba Kiswahili changu si kibaya kwa
mtu aliye sema lugha hiki fasaha. Inaongeza kujiamini (= self-confidence?) kwangu!


Haha, Mimi sisemi Kiswahili kwa fasaha. Ninajifunza lugha hii pia. Bado nina njia refu
kuenda.

Makedha wrote:
Niliposoma masomo ya kiswahili yangu, nimeona pia kwamba msamiati ya
kiarabu na kiswahili inafanana sana (kwa mfano: namba 6 hadi 9, salama/salaam,
dakika/daqiqe, dhahabu/adhahab, etc.). Unajua itakuwaje?


Kwa kweli, Kiswahili na Kiarabu vinagawana maneno mengi kwa sababu watu wa nchi ya Oman
walikuwa wametawala pwani ya Afrika Mashariki kutoka karne ya kumi na nane mpaka
takriban kati ya karne ya ishirini. Watu wa Oman waliathiri utamaduni wa pwani ya
Afrika Mashariki kwingi na walijulisha lugha yao, dini yao na desturi zao pale.


Makedha wrote:
Pia Bahati nzuri kwa kusoma Kiarabu! Nadhani una ushujaa wingi kwa
kuanza kusoma lugha kigumu kama hiki. Na kichina pia. Hailikuwa vigumu kujifunza
mwandiko? Hata ningejaribu kwa bidii, sidhani ningehifadhi alama ya kichina zote, tangu
tayari nina ugumu mengi kwa kuhifadhi alama zote za kijapani zenye asili ya kichina
(the kanji’s), ingawa wajapani watumia alama hizo yapata 2000 tu – wakati wachina
watumia alama zaidi ya 6000, ni sahihi? – kwa hiyo, nina shaka kamwe nitaja kujifunza
kichina...


Asante. Nilianza kujifunza Kichina wakati mimi nilikuwa mtoto. Nilijifunza Kichina kwa
miaka mikumi na ikasikia kama teso kila siku. Sikuweza kuchagua kusoma lugha nyingine
kwa sababu taratibu ya elimu yangu ilinipasisha kusoma Kichina tu. Sikupenda madarasa
ya Kichina sana kwa sababu niliyaogopa sana. (Ninatetemeka katika wazo la madarasa ya
Kichina tena.) Baadaye, iliniruhusu kujifunza Kimalay (Malay?) pia, ingawa maarifa
yangu ya Kimalay ni duni sana. Ninabahatisha sikuwa na shauku ya kutosha nilipokuwa
mwanafunzi. Sasa, nimekua na ninavutiwa na lugha. (Mimi ni mwivu kwa sababu ellasevia
alitambua upendo wake wa lugha alipokuwa na miaka kumi na tatu tu!! Grrr!) Ninaamini
kwamba ninahitaji kufanya haki kwa Kimalay changu, kwa hiyo, lazima niendelee kusoma
Kimalay tena. By the way, Kimalay kinagawana maneno mengi na Kiarabu pia. Kweli,
waarabu waliathiri utamaduni nyingi eh?


Makedha wrote:
Kwa bahati mbaya, nilipata nafasi kuiendea Afrika mara moja tu kwenye
maisha yangu yote kwa kuwa nimezaliwa katika Belgium...

Habari za safari yangu ya Kongo? Utuambie zaidi kuhusu Kongo. Nitapenda kuenda Kongo
katika umbele. (Nitapenda kuenda kila mahali.) Kwa nini ulienda Kongo badala ya Kenya
au Tanzania? Je, ulifanya nini katika Kongo?


Makedha wrote:
Kuna msichana huyu, rafiki yangu, anayesafiri Malaysia katika likizo kuu
ya shule. Amenionyesha pitcha alizozipigwa mwenyewe kwa nchi hii. Pich hii zinaonyesha
mahali ajabu sana! Nina uhakika unaona fahari kubwa kwa nchi nzuri yako!

Napenda Malaysia sana. Natumaini una nafasi kuitembelea hivi karibuni.





ellasevia wrote:
Asante, strikingstar. Sasa nipo mwaka wa junior. Ndiyo, nimefikiri
kuhusu chuo kikuu na nimevitembelea vichache. Ninadhania kwamba nitataka kusoma lugha
za kigeni (labda Kiarabu, Kijapani, au Kirusi), masomo ya Mashariki ya Kati au Asia ya
Mashariki, isimu, au jiografia (na kadhalika). Pia, sitaki kuishi hapa Marekanini, bora
zaidi ni Ulaya... Na wewe je, una umri gani kama nikuulize?


Nimehitimu chuo kikuu tayari (Mwaka uliopita. Mimi ni mzee. Sobz.) Mimi nilijifunza
masoma ya uhandisi na masomo ya uchumi (double major), kwa hivyo labda shauri yangu
sitakuwa shauri bora. Ninadhani Middlebury ni nzuri sana kwa masoma ya lugha na masoma
ya kimataifa. Lakini ni katika jimbo la Vermont...

Edited by strikingstar on 23 February 2011 at 4:56am

1 person has voted this message useful



strikingstar
Bilingual Tetraglot
Senior Member
United States
Joined 4969 days ago

292 posts - 444 votes 
Speaks: English*, Mandarin*, Cantonese, Swahili
Studies: Spanish, Arabic (Written)

 
 Message 20 of 21
20 February 2011 at 6:02pm | IP Logged 
Makedha wrote:
Nilikuwa nikipewa kazi ya shule (=homework?) nyingi na walimu wangu


Homework ni "zoezi la nyumbani".


1 person has voted this message useful



ellasevia
Super Polyglot
Winner TAC 2011
Senior Member
Germany
Joined 5938 days ago

2150 posts - 3229 votes 
Speaks: English*, German, Croatian, Greek, French, Spanish, Russian, Swedish, Portuguese, Turkish, Italian
Studies: Catalan, Persian, Mandarin, Japanese, Romanian, Ukrainian

 
 Message 21 of 21
26 February 2011 at 3:59am | IP Logged 
Makedha, mimi pia nina hofu ya jamii (social phobia?) na nina dalili sawa zote ulinizowasifu. Nilipokuwa katika Tanzania nilisisimka sana kutumia Kiswahili ambacho nilikuwa nimejifunza na Waswahili ingawa nilihofu kidogo. Tena, Watanzania walikuwa wa kirafiki sana. Mazungumzo haya katika tovuti hii (na shule, bila shaka) ni takriban maingiano yangu yote, kwa sababu sipendi sana kupitisha wakati na watu wengine.

Ndiyo, huna matatizo mengi kugawa wakati na shule na na lugha zangu. Wiki nyingi wakati wa mwaka wa shule sina wakati wa kutosha kuvifanya vitu vyote ningevyotaka, kwa mfano wiki hii. Mwaka huu nipo darasa la kumi na moja la shule ya sekondari. Na wewe je, una umri gani?

Strikingstar, kwa nini awali hukuruhusiwa kusoma Kimalay (hili ni ndilo neno la lugha, nililitafuta) na walikulazimisha kusoma Kichina kama ulikuwa katika Malesia? Nilifikiri kwamba Kimalay ni lugha kuu na lugha rasmi katika nchi ile... Ungejaribu kusoma lugha tena; nimesikia kwamba si kigumu sana, unajua kidogo tayari, na wewe ni Mmalesia na unapenda nchi ya asili yako.

Edited by ellasevia on 26 February 2011 at 4:05am



1 person has voted this message useful



This discussion contains 21 messages over 3 pages: << Prev 1 2

If you wish to post a reply to this topic you must first login. If you are not already registered you must first register


Post ReplyPost New Topic Printable version Printable version

You cannot post new topics in this forum - You cannot reply to topics in this forum - You cannot delete your posts in this forum
You cannot edit your posts in this forum - You cannot create polls in this forum - You cannot vote in polls in this forum


This page was generated in 0.3281 seconds.


DHTML Menu By Milonic JavaScript
Copyright 2024 FX Micheloud - All rights reserved
No part of this website may be copied by any means without my written authorization.